Usher Raymond Aachana Na Mkewe

0
usher raymond

Mwanamuziki wa Marekani, Usher Raymond na mkewe Grace Miguel wameachana baada ya miaka miwili ya ndoa yao.

Wanandoa hao wametangaza kuachana baada ya kupita miaka miwili ya ndoa yao na kudumu kwenye mahusiano kwa miaka 10.

Hata hivyo Chanzo cha karibu cha wawili hao kimeuambia mtandao huo, Usher na Grace wametengana tangu miezi michache iliyopita.

Mwanamuziki huyo na mkewe huyo Grace wamekuwa na mahusiano kwa karibu tangu mwaka 2009 kabla ya kufunga ndoa.

Usher alianza mahusiano yake na Grace baada ya kuachana na aliyekuwa mke wake, Tameka Foster.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here