NEWS

Get Latest World breaking news from East/West/SouthAfrica, Usa, Europe, Australia, Canada, Germany, China, and all over the world.

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Walter Chilambo ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake mpya 'Only You' amepewa nguvu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, Erick Shigongo pamoja na msanii Jux katika kuhakikisha wimbo wake huo unawafikia watu. Kutokana na ujumbe ambao upo ndani ya wimbo huo na uzuri wake pia umemlazimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe, Paul Makonda mara kadhaa kuutumia wimbo huo kwenye mitandao yake ya kijamii bila kusema neno lolote lile zaidi ya kufikisha ujumbe wake kwa watu kupitia ujumbe ambao upo ndani ya wimbo huo kuwa anamtegemea Mungu tu na si kitu kingine katika maisha yake. Aidha Mhamasishaji na Mkufunzi wa Ujasiriamali Afrika Mashariki na Kati, Eric Shigongo pia ameuzungumzia wimbo huo na msanii huyo na kusema ni kati ya wasanii wazuri sana kwenye injili japo hawapewi nguvu kutokana na kutokuwa na mbwembwe katika kazi zao. "Mara nyingi nimeshaambiwa huyu mtoto ni tishio katika Gospel, sema unyenyekevu wake ndio unamfanya asionekane mapema, hebu sikiliza huu wimbo halafu uniambie mwenyewe" Shigongo Kwa upande wake Jux alichukua baadhi ya maneno ya wimbo huo ishara kuonyesha kwamba amevutiwa na kazi hiyo mpya wa Walter Chilambo.

Walter Chilambo Kupewa Support na Paul Makonda

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Walter Chilambo ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake mpya 'Only You' amepewa nguvu na Mkuu wa Mkoa...
Salamu za Wema Sepetu Kwa Haji Manara

Salamu za Wema Sepetu Kwa Haji Manara

Msanii Wema Sepetu, ametuma salamu kwa mkuu wa habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara, na kutamba kwa kusema, klabu ya Yanga...
uwoya-na-dogo-janja

Dogo Janja Na Irene Uwoya Mapenzi Moto moto

Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, Dogo Janja azidi kuyaanika mapenzi aliyonayo hadharani kwa mke wake ambaye ni Muigizaji, Irene Uwoya.Dogo Janja kupitia ukurasa...
Sugu

Hivi Ndivyo Familia Ya SUGU Ilivyosherehekea Birthday Yake

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la Sugu amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa gerezani huku familia yake ikiisherehekea kwa...
diamond platnumz aachiwa kwa dhamana

Diamond Platnumz Aachiwa Kwa Dhamana

Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz jana Jumatatu Aprili 16 alishikiliwa na polisi...
mariah carey

Mariah Carey reportedly sued by former manager, accusing her of sexual harassment

Mariah Carey is reportedly being sued by her former manager.Stella Bulochnikov worked with the singer for three years, before they parted ways in November...
Mama-Mobeto

Mama Hamisa asema anataka mwanae aolewe na Mzungu, Waafrika hawafai

Mama wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amesema katika maisha yake alikuwa anamuombea mtoto wake huyo aolewe na mzungu.Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Shufaa...

DJ Khaled is trying to trademark his son’s name

DJ Khaled has reportedly filed a trademark for his son’s name.Khaled’s first-born, Asahd (meaning “lion” in Arabic), was born in October 2016 and was...

Diamond Platnumz Amefikishwa Polisi Kisa Video Zisizo na Maadili

BUNGENI: Msanii Naseeb Abdul Maarufu kama Diamond Platnumz amefikishwa Polisi jana kuhojiwa kutokana na kusambaza kwa video zake zisizo na maadili katika mitandao ya...

J. Cole Reveals New Album ‘K.O.D.’ Will Be Out This Friday

Earlier in the day, J. Cole changed his avis on Twitter and Instagram which led people to believe that either he’d once again been...
2,665FansLike
4,767FollowersFollow
5,287FollowersFollow
190FollowersFollow
0SubscribersSubscribe