Sikiliza Wimbo Mpya Wa Lava Lava “Omary Msomali”

2
Lavalava omary msomali

MSANII wa Bongo Flava kutoka kwenye kundi linalofanya vizuri kwenye tasnia ya muziki Africa WCB Wasafi, Lava lava anakusogezea Omary Msomali. Ni wimbo ambao amemzungumzia kijana ambaye alikuwa kwenye mstari ila akabadilika ghafla alivyofanikiwa kimaisha na kusababisha mgogoro yeye pamoja na mpenzi wake na kila mpenzi wake alivyokuwa akimrekebisha jamaa aligoma kumsikiliza, ndipo fedha zikamuishia na ikawa too late! Audio imetayarisha chini ya studio za Mazuu Records. Enjoy!

Chorus

Afanye nini Omary, Masikini Omary

Afanye Nini Omary,

Afanye nini Omary, Omary Msomali.


DOWNLOAD AUDIO

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here