Bright – Onga Onga (Audio)

0
bright onga onga

BAADA ya kutamba na kibao cha Sina (Wivu) sasa Bright amekuja na audio ya wimbo mpya alioupa jina la Onga Onga. Mtayarishaji ni K Zoo Finest. Sikiliza,Downlaod Kisha share na wana!

Chorus Quote:

Na kama wewe unanitaka mimi, Onga Onga ee,

Msingi Kiuno Mjini maneno, Onga onga ee

Nawakomesha madada mjini

Msingi Kiuno Mjini maneno, Onga onga ee


DOWNLOAD AUDIO
  • Readers Rating
  • Rated 3 stars
    3 / 5 (1 )
  • Your Rating